Watu 6 wafariki kufuatia mkurupuko wa Cholera Tana River

Watu 6 wafariki kufuatia mkurupuko wa Cholera Tana River

Watu sita wamefariki kufuatia mkurupuko wa maradhi ya cholera kaunti ya Tana River. Mkurugenzi wa afya ya umma eneo hilo Oscar Endekwa anasema watu wengine 54 wametengwa wakipokea matibabu. Ametoa tahadhari kwa wenyeji kudumisha usafi kwa kuhakikisha wanakula na kunywa maji safi.

Also read:   Watu 10 wafariki katika ajali eneo la Sachang’wan barabara ya Eldoret Nakuru

Post source : Milele FM

Related posts

MNL App
MNL App