HabariMilele FmSwahili

Serilaki yaapa kuyakabili magenge ya wahalifu yanayotekeleza mashambulizi eneo la Mlima Elgon

Serikali imeapa kuyakabili vikali magenge ya wahalifu yanayohusika katika visa vya mashambulizi na mauaji katika eneo la Mlima Elgon. Onyo hilo limetolewa na waziri wa usalama dkt Fred Matiangi aliyeandamana na mwenzake wa ardhi Farida Karoney. Wawili hao wameongoza mkutano wa kiusalama ambapo wamezihimiza jamii za eneo hilo kuishi kwa amani. Mkutano huo umehudhuriwa pia na waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa na Inspekta Jenerali wa polisi Joseph Boinet.

Also read:   Malipo Ya Vibarua Yazua Changamoto Kwa Serikali Ya Kwale.
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker