HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi wa chuo cha Nairobi wakamatwa kwa kuzua vurugu nje ya hospitali ya Kenyatta

Wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Nairobi bewa la Lower Kabete wametiwa mbaroni baada ya kuzua purukushani nje ya hospitali ya Kenyatta. Wanafunzi hao walikuwa wakishinikiza haki kwa mwenzao Angelo Miano ambaye adaiwa kufariki hospitalini humo kwa kukosa upasuaji wa dharura. Inakisiwa baadhi ya wanahabari pia wamekamatwa kwenye zogo hil

Also read:   Zaidi Ya Wanafunzi 2000 Waadhimisha Siku Ya Kuosha Mikono Kilifi.
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker