HabariMilele FmSwahili

Kesi ya Karua dhidi ya Gavana Waiguru kusikilizwa upya

Kiongozi wa chama cha NARK Kenya Martha Karua amepata afueni baada ya mahakama ya rufaa kubatilisha uamuzi wa mahakama kuu wa kutupilia mbali kesi aliyowasilisha kupinga ushindi wa gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru. Karua aliwasilisha rufaa akidai mahakama kuu ilikosea kwa kutorudhia ombi lake la kutupilia mbali ushindi wa Waiguru. Mahakama ya rufaa imeagiza kesi hiyo kusikilizwa upya

Also read:   Kigeri 2017: Urugari wa kiuteti kaunti-ini ya Kirinyaga kwambatira
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker