HabariMilele FmSwahili

Jaji mkuu Maraga aomboleza kifo cha Jaji wa makakama kuu Louis Onguto

Jaji mkuu David Maraga amemtaja marehemu jaji wa mahakama kuu Louis Omondi Onguto kama mtu aliyetumikia idara ya mahakama nchini kwa uadilifu. Kwenye risala za rambi rambi jaji mkuu Maraga amesema idara ya mahakama imempoteza jaji mwenye ujuzi na tajiriba aliyewahudumia watu wote bila upendeleo. Jaji Onguto aliyefariki jana baada ya mazoezi katika mkahawa mmoja jijini,alijiunga na mahakama kuu ya kusikiza kesi kuhusiana na mazingira mwaka 2014 kabla ya kuhamishiwa mahakama ya kikatiba mwaka wa 2015.

Also read:   Jaji mkuu David Maraga kuzuru eneo la Magharibi leo
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker