HabariMilele FmSwahili

Maoneo ya Magharibi,Nyanza na Rifty Valley kushuhudia mvua kubwa siku mbili zijazo

Maeneo ya Magharibi Nyanza na Rifty Valley yanatarajiwa kushuhudia mvua kubwa katika muda wa siku mbili zijazo. Kulingana na shirika la utabiri wa hali ya anga maeneo ya kati na Nairobi pia yatapokea mvua kubwa kati ya kesho na Ijumaa. Shirika hilo aidha limetaadharisha kuhusu uwezekano wa maeneo hayo kukumbwa na mafuriko.

Also read:   Mvua yatatiza shughuli za uchukuzi katika kivuko cha feri cha Likoni
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker