Charles Mwanzia ateuliwa kusimamia bodi ya kutoa leseni za kumiliki silaha

Charles Mwanzia ateuliwa kusimamia bodi ya kutoa leseni za kumiliki silaha
waziri wa usalama dkt Fred Matiangi

Jenerali mustaafu Charles Mwanzia ameteuliwa kusimamia bodi ya kutoa leseni za kumiliki silaha. Ni kufuatiua mabadiliko yaliyotekelezwa na waziri wa usalama dkt Fred Matiangi. Sasia anachukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa naye jenerali mustaafu Enock Sasia

Also read:   Matiangi : Tuko tayari kufanikisha mitihani ya KCPE na KCSE mwaka huu

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App