Washukiwa 6 wa ujambazi wauwawa na polisi Kibunja

Washukiwa 6 wa ujambazi wauwawa na polisi Kibunja

Washukiwa sita wa ujambazi wameuwawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi huku mmoja akiponea kifo katika kituo cha kibiashara cha Kibunja kwenye barabara ya Nakuru Eldoret. Maafisa wa kitengo maalum cha kukabiliana na uhalifu wanarifiwa kuwaandama washukiwa hao kutoka hapa Nairobi.

Also read:   Mwanamume amuua mpenziwe kabla ya kujitia kitanzi Molo

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App