Waziri Amina Mohamed asema atahakikisha mageuzi katika sekta ya elimu yanafanikishwa

Waziri Amina Mohamed asema atahakikisha mageuzi katika sekta ya elimu yanafanikishwa
Waziri wa elimu balozi Amina Mohamed

Waziri wa elimu balozi Amina Mohamed amesema atahakikisha mageuzi yanayotekelezwa katika sekta ya elimu yanafanikishwa. Akizungumza baada ya kuzuru kituo cha hesabu sayansi na teknolojia cemastea balozi Amina amesema atashirikiana na viongozi katika wizara hiyo kuendeleza mageuzi hayo. Amewataka wafanyikazi katika wizara ya elimu kuongeza juhudi katika kuhakikisha mfumo wa elimu unawafaidi zaidi wanafunzi.

Also read:   Waziri wa elimu kuongoza hafla ya kufuzu kwa wanafunzi katika chuo cha Moi

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App