Jaji mkuu David Maraga azuru jela la Kodiaga Kisumu

Jaji mkuu David Maraga azuru jela la Kodiaga Kisumu
Jaji Mkuu David Maraga

Jaji Mkuu David Maraga amezuru jela la Kodiaga huko Kisumu ambako ametilia mkazo kuwa taasisi hizo hazipaswi kutumiwa kama maeneo ya kuwatesa wafungwa ila kurekebisha tabia. Maraga ameahidi kuhakikisha mahakama inashughulikia kesi zinazowahusu wafungwa akiwataka wafugwa pia kuwa na nidhamu.

Also read:   Mwanafunzi amgadhabisha mwalimu kuvalia sketi fupi Homabay

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App