Kalonzo asema hayuko tayari kula kiapo cha kejeli

Kalonzo asema hayuko tayari kula kiapo cha kejeli

Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka hayuko tayari kula kiapo cha kejeli. Akizungumza huko Athiriver Kalonzo anasema hanui kushiriki zoezi hilo mwishoni mwa mwezi huu kwani zoezi zima lina kwenda kinyume na sheria. Kalonzo ambaye anasema yuko ndani ya NASA anadai iwapo kiapo hicho kitaidhinishwa basi ni sharti wahusika wafuate sheria.

Also read:   Wiper party at crossroads on Kalonzo Musyoka's candidature

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App