Zaidi ya vijana 400 wa kuranda mitaani waondolewa Nairobi

Zaidi ya vijana 400 wa kuranda mitaani waondolewa Nairobi

Zaidi ya vijana 400 wa kuranda mitaani, wameondolewa katikait mwa jiji la Nairobi katika mpango unaoendeshwa na serikali ya gavana mike Sonko. Sonko amesema mpango huo unalenga kuimarisha usalama jijini na pia kuwapa makao mbadala vijana hao. Akionea alipofungua kituo cha kutoa mafunzo mtaani Dandora hapa Nairobi Sonko amesema vijana hao wamepelekwa katika vituo tofauti vya kurekebisha tabia. Sonko pia amekariri kujitolea kwa serikali yake kukabili swala la mrundiko wa taka na kuweka taa.

Also read:   Kimako Kabete thutha wa mundu urathikitwo kwiyumiria

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App