Simon Chelugui afika mbele ya kamati ya bunge kuhusu uteuzi

Simon Chelugui afika mbele ya kamati ya bunge kuhusu uteuzi
Waziri mteule katika wizara ya maji na usafi Simon Chelugui

Waziri mteule katika wizara ya maji na usafi Simon Chelugui anafika mbele ya wabunge wa Jubilee wakati huu kupigwa msasa. Chelugui mzaliwa wa Baringo analenga kuwashawishi wabunge kwamba amefuzu kukabidhiwa wadhfa huo. Chelugui anahojiwa muda mfupi baada ya kamati hiyo kukamilisha ukaguzi wa aliyekua mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko aliyependekezwa kama waziri wa mazingira na misitu.

Also read:   Mashirika ya kijamii kuelekea mahakamani sheria ya jinsia isipopitishwa

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App