HabariMilele FmSwahili

Mahakama yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa gavana Mutua

Mahakama ya Machakos imeidhinisha ushindi wa gavana Dr Alfred Mutua. Jaji Aggrey Muchelule anasema madai ya hongo kwa wapiga kura, wizi wa kura na dosari kwenye karatasi za kura hayana uzito wowote. Jaji Muchelule kadhalika amemuagiza mlalamishi Wavinya Ndeti kulipa shilingi milioni 10 kama gharama ya kesi hiyo. Na akizungumza nje ya mahakama hiyo Mutua, ameahidi kushirikiana na viongozi wote wa Machakos bila ubaguzi.

Also read:   Igoti inene kurugamia ikinya ria IEBC kuhingiriria Wavinya Ndeti kuhuranira ungavana kaunti ya Machakos na Wiper
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker