Margret Kobia aanza kuhojiwa na wabunge

Margret Kobia aanza kuhojiwa na wabunge
Profesa Margret Kobia mbele ya kamati ya bunge ya uteuzi

Zoezi la kuwapiga msasa wakenya 9 waliopendekezwa na rais Uhuru Kenyatta kuhudumu kwenye baraza la mawaziri linaendelea wakati huu katika majengo ya bunge. Zoezi hilo linaongozwa na spika wa bunge aliye pia mwenyekiti wa kamati ya uteuzi ambaye ametangaza hakuna mkenya yeyote ataruhusiwa kufika mbele yao na kwamba watazingatia tu hati viapo walivyopokea kutoka kwa wananchi kufikia jana jioni.
Profesa Margret Kobia alyependekezwa kuhudumu kama waziri wa masuala ya vijana, jinsia na utumishi wa umma anakaguliwa wakati huu ambapo ameelezea kujitolea kwake kuhudumu kwneye wadhfa huo

Also read:   Rais Uhuru anatakiwa kufanyia mabadiliko baraza la mawaziri

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App