Kenya ni ya 5 ulimwenguni miongoni mwa mataifa yanayozalisha kawi ya mvuke

Kenya ni ya 5 ulimwenguni miongoni mwa mataifa yanayozalisha kawi ya mvuke
waziri wa kawi Charles Keter

Kenya ni ya tano ulimwenguni miongoni mwa mataifa yanayozalisha kawi ya mvuke. Waziri wa kawi Charles Keter amesifia hatua hiyo akisema kwa mwaka megawati 800 za kawi ya mvuke huzalishwa. Akizungumza katika kongamano la wadau kutoka sekta ya kawi nchini, Keter hata hivyo anasema kwa taifa kuwa dhabiti kwenye uzalishaji kawi hiyo basi Kenya itahitaji megawati 17000 kila mwaka akizungumza katika mkao wa kamati ya bunge kuhusu kawi huko mombasa, Keter anasema serikali inalenga kushirikisha sekta ya kibinafsi kwenye miradi ya kawi ya mvuke.

Also read:   Pres. Kenyatta pledges to devote his energy to improving the lives of Kenyans

Post source : Charles Keter

Related posts

MNL App
MNL App