UASU yataka serikali kuharakisha kusaini mkataba baina yao

UASU yataka serikali kuharakisha kusaini mkataba baina yao
Katibu mkuu wa UASU Constatine Wesonga

Muungano wa wahadhiri nchini UASU umeipa serikali hadi Januari 31 mwaka huu kusaini mkataba wa kurejea kazini ulioafikiwa Desemba tarehe 9 mwaka jana. Katibu mkuu wa UASU Constatine Wesonga anasema iwapo mkataba huo hautakuwa umesainiwa kufikiwa siku hiyo huenda wakalazimika kueleka katika mgomo. Mkatana huo ni wa mwaka 2013 kizungumza baada ya mkutano na mwajiri wa wahadhiri, Wesonga anasema tayari muungano wao umeanza mazungumzo kuhusiana na mkataba wa utendakazi wa wahadhiri mwaka wa 2017 – 2021.

Also read:   Mahakama kuu yabatili agizo la serikali kufunga vituo kadhaa vya runinga nchini

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App