BiasharaMilele FmSwahili

Mucheru ahimiza waekezaji kuekeza zaidi katika wafanyibiashara chipukizi

Waziri wa masuala ya teknolojia nchini Joe Mucheru amehimiza waekezaji kuekeza zaidi katika wafanyibiashara chipukizi. Akiongea aliponzindua hafla ya kuendeleza ubunifu hapa Nairobi Mucheru anasema atazindua jopo kazi litakaloangazia masuala ya ubunifu. Mucheru pia anasema wizara hiyo pia inalenga kuongeza nafasi za ajira kwenye mitandao kwa wakenya kuwawezesha kufanya kazi popote walipo huku akihimiza kampuni za humu nchini pia kuanzisha matumizi ya teknolojia.

Also read:   Street kids forced to earn for their meals through hawking
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker