Hisa za KQ zaimarika siku chache baada ya kutangaza safari za moja kwa moja kuelekea Marekani

Hisa za KQ zaimarika siku chache baada ya kutangaza safari za moja kwa moja kuelekea Marekani
Shirika la ndege Kenya Airways

Hisa za shirika la ndege la Kenya Airways zimeimarika siku chache baada ya kutangaza kuanza safari za moja kwa moja kutoka Nairobi kuelekea New York Marekani. Hisa yake ilipanda na kufikia 17.30 mwishoni mwa juma lililopita kutoka shilingi 15.60 mwanzoni mwa juma hilo. KQ inatarajiwa kuimarika kwa mapato yake kwa aslimia 10 kufikia mwaka ujao wa 2019 baada ya kuanza kwa safari hizo mwezi Oktoba.

Also read:   Universities being accused of producing semi-skilled graduates

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App