HabariMilele FmSwahili

Matiang’i: Basi zote za shule nchini zitahitajika kuwa na rangi ya manjano

Kufikia tarehe 30 mwezi Machi mwaka huu basi zote za shule nchini zitahitajika kuwa na rangi ya manjano na kuhudumu kati ya saa kumi na mbili asubuhi na saa kumi na mbili jioni. Waziri wa usalama wa ndani Dr Fred Matiangi anasema iwapo wahusika hawatoafikia hitaji hilo basi kadhalika Matiangi anasema wakuu wa usalama wanapaswa kuwakabili wanaofika katika shule tofauti bila idhini.

Also read:   Vice Chancellors directed to take disciplinary action against striking lecturers

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker