Matiang’i aagiza kukamatwa wanaowafurusha walimu wakuu waliohamishwa maeneo tofauti nchini

Matiang’i aagiza kukamatwa wanaowafurusha walimu wakuu waliohamishwa maeneo tofauti nchini
Waziri wa usalama wa kitaifa Dr.Fred Matiang’i

Waziri wa usalama wa kitaifa Dr.Fred Matiang’i ameagiza kukamatwa wanaowafurusha wakuu wa shule waliohamishiwa katika maeneo tofauti nchini. Matiangi anasema serikali haitakubali watu fisadi kuvuruga sekta ya elimu na badala yake watakabiliwa vilivyo. Amesisitiza serikali haitabadili msimamo wake dhidi ya uhamisho huo akisema ni uamzi ulioafikiwa baada ya mashauriano ya kina.

Also read:   Usalama Waimarishwa Mombasa Mwezi Wa Ramadhan.

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App