Mediamax Network Limited

Watu 2 wafariki na wengine saba kusalia na majeraha baada ya nyumba kuporomoka huko Embakasi

Crime Scene. Photo/Courtesy

Watu 2 wamedhibitishwa kufariki na wengine saba kusalia na majeraha baada ya nyumba walimokua kuporomoka eneo la Kware huko Embakasi kaunti ya Nairobi. Inaripotiwa nyumba hiyo ilikua katika hali mbaya na ilionyesha ishara za kuporomoka. Shuguli za uokozi zingali zinaendeshwa na maafisa wa shirika la msalaba mwekundu na wale wa kaunti ya Nairobi.