Mtaala mpya wa elimu utatekelezwa kama ilivyoratibiwa kuanzia mwaka 2027

Mtaala mpya wa elimu utatekelezwa kama ilivyoratibiwa kuanzia mwaka 2027
Waziri wa elimu Dkt Fred Matiangi

Mtaala mpya wa elimu wa 2-6-6-3 utatekelezwa kama ilivyoratibiwa. Waziri wa elimu Dkt Fred Matiangi amepuuza taarifa wizara yake haiko tayari kwa mtaala huo akisema awamu ya pili ya majaribio ya mtaala huo imeng’oa nanga mwezi huu. Akizungumza siku moja baada ya shule kuanza muhula wa 1, Matiangi anasema mikakati imewekwa kufanikisha mtaala anaosema utaweza kutekelezwa kikamlifu kuanzia mwaka 2027.

Also read:   Matiangi :Marudio ya uchaguzi mkuu hayatathiri mitihani ya kitaifa

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App