Benki Kuu ya Kenya kuanza kuchapisha sarafu mpya mwaka ujao

Benki Kuu ya Kenya kuanza kuchapisha sarafu mpya mwaka ujao
Benki Kuu ya Kenya

Benki Kuu ya Kenya itaanza kuchapisha sarafu mpya kufikia robo ya pili ya mwaka 2018. Gavana wa benki hiyo Patrick Njoroge anasema sarafu hiyo ya kisasa haitokuwa na picha za marais wa kale wa taifa hili bali itasheheni picha na nembo za kitaifa. Uamuzi huu unaafikiwa baada ya mahakama kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa na kampuni ya kuchapisha pesa ya De-La Rue iliokuwa imepinga kutolewa kwa zabauni hiyo kwa kampuni tofauti.

Also read:   Gavana wa Benki Kuu aonya kutaleta balaa zaidi kwa Wakenya

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App