Andrew Dixon ateuliwa ofisa mkuu wa utendakazi wa maduka ya jumla ya Uchumi

Andrew Dixon ateuliwa ofisa mkuu wa utendakazi wa maduka ya jumla ya Uchumi
Aliyekuwa ofisa mkuu wa mauzo katika maduka ya jumla ya Nakumatt Andrew Dixon

Aliyekuwa ofisa mkuu wa mauzo katika maduka ya jumla ya Nakumatt Andrew Dixon ameteuliwa ofisa mkuu wa utendakazi wa maduka ya jumla ya Uchumi. Hatua hii inalenga kukwamua Uchumi ambayo imekumbwa na msusuko wa kibiashara kwa muda mrefu. Dixon alihudumu katika Nakumatt hadi mwezi Oktoba mwaka huu.

Also read:   Aruti a wira a Nakumatt gukinyira micara yao igoti-ini

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App