Sumgong apigwa marufuku ya miaka minne

Sumgong apigwa marufuku ya miaka minne
Bingwa wa Olimpiki Jemima Sumgong

Bingwa wa Olimpiki Jemima Sumgong apigwa marufuku ya  miaka minne baada ya kupatika na kosa la matumiza ya dawa za kusisimua misuli .Bodi ya kupigana na matumizi ya dawa hizo humu nchini imedhibitisha uamuzi huo hii leo.

Mwezi Aprili mwaka huu sumgong alipatikana na chembechembe za dawa zisizoruhusiwa na shirikisho la WADA baada ya kufanyiwa vipimo ila alipinga matokeo hayo.Wakenya wengine waliowahi kupigwa marufuku ni bingwa wa Boston na Chicago Marathon Rita Jeptoo pamoja na bingwa wa mbio za nyika Emily chebet.

Also read:   Jemima makes history after winning Kenya's first ever gold in women's marathon

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App