Faida ya Safaricom yapanda kwa asilimia 21.4 na kufikia shilingi bilioni 26.2

Faida ya Safaricom yapanda kwa asilimia 21.4 na kufikia shilingi bilioni 26.2
Safaricom

Faida ya kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imepanda kwa asilimia 21.4 na kufikia shilingi bilioni 26.2. Kuimarika kwa faida hii kumetokana na kupanda kwa mapato ambayo sasa yamefikia shilingi bilioni 109.7 yakitokana na huduma ya M-pesa na utumizi wa mitandao. Wakati huo Safaricom imeepuza kuwepo pengo kutokana na kutokuwepo afisini afisa mkuu mtendaji wake Bob Collymore. Mwenyekiti wa Safaricom Nicholas Nganga anasema Collymore atakuwa nje ya afisi kwa miezi 6 kwa likizo ya matibabu

Also read:   Safaricom launches ‘Little cabs' application heightening competition for Uber

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App