Kimani Ngunjiri: Mgogoro wa siasa watishia uchumi wa nchi

Kimani Ngunjiri: Mgogoro wa siasa watishia uchumi wa nchi
Mbunge wa Bahati Kimani Ngunjiri

Wabunge wa Jubilee wameelezea haja ya kutatuliwa mgogoro wa kisiasa nchini wakionya unatishia kuyumbisha uchumi wa taifa. Kulingana na mbunge wa Bahati Kimani Ngunjiri hali ya kisiasa nchini imepelekea hazina kuu kutotoa kwa wakati fedha za maendeleo kwa serikali za kaunti hali iliyokwamisha utekelezaji miradi hiyo. Ngunjiri ametaka wadau wote kupata mwafaka upesi ili kuwaepushia wakenya mahangaiko zaidi. Kauli sawa imetolewa na mbunge maalum Dkt David Ole Sankok.

Also read:   Ruto Aiondolea Serikali Lawama Kuhusiana Na Masaibu Ya Monica Juma Na Ngilu

Post source : Milele fm

Related posts

MNL App
MNL App