MakalaMilele FmSwahili

Mabalozi waelezea hofu kufuatia kupanda kwa joto la kisiasa nchini

Mabalozi wa mataifa ya nje humu nchini wamezela hofu kufuatia kupanda kwa joto la kisiasa nchini. Katika ujumbe wanadai stakadhi zinaenea kuhusu idara ya mahakama si za kweli na kutaka polisi kutoa ulinzi kwa wahusika waliotajwa. Wakiongozwa na balozi wa Marekani Robert Godec wametaka kuchukuliwa hatua kwa wanaoeneza jumbe za chuki. Mabalozi hao pia wamelalamikia shtuma zinazozidi kutolewa dhidi ya tume ya IEBC na idara ya mahakama. Wanasema hatua hiyo itakandamiza katiba ya nchi.

Also read:   Wataalamu waonya huenda Wakenya wamekosa imani na uchaguzi
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker