Raila ajitenga na madai ya kuchochea jamii ya wamasaii

Raila ajitenga na madai ya kuchochea jamii ya wamasaii
Photo: Kinara wa upinzani Raila Odinga

Kinara wa upinzani Raila Odinga amejitenga na madai aliichochea jamii ya wamasaii dhidi ya kuuza ardhi zao. Akitetea matamshi yake Raila anasema alinuia kuwasaidia wamaasai ambao wamekuwa wakuuuza ardhi kufuatia kukithiri umaskini. Amewasuta rais Uhuru Kenyatta, naibu wake William Ruto na waziri wa usalama Joseph Nkaiserry wanaoshinikiza kukamatwa kwake amekariri iwapo muungano wa NASA utatwaa ushindi Agosti nane basi watalishughulikia swala la umaskini ambalo linawafanya wengi wa wakenya kuuza mali yao kusaka chakula

Also read:   Raila: mradi wa maji Aberdare utapelekea ukame nchini

Post source : Milele fm

Related stories