Watu 3 wafariki kwenye ajali Athi River, Barbara kuu ya Mombasa

Watu 3 wafariki kwenye ajali Athi River, Barbara kuu ya Mombasa
Photo: ajali

Watu 3 wamefariki na wengine kadhaa kusalia na majeraha baada ya kuhusika  kwenye ajali iliyotokea katika eneo la Athi River kwenye barabara  kuu ya Mombasa. Ajali hiyo ilihusisha  gari aina ya lori  iliyogongana ana kwa ana

Also read:   Micheal Salai ateuliwa karani mpya wa bunge la taifa

Post source : Milele fm

Related stories