IEBC yapuuza madai inapanga kusitisha kandarasi ya Al- Ghurair

IEBC yapuuza madai inapanga kusitisha kandarasi ya Al- Ghurair
Photo: IEBC

Tume ya IEBC imepuuza madai inapanga kusitisha kandarasi iliyoipa kampuni ya Al-Ghurair kuchapisha karatasi za kura. Kulingana na kamishana Margaret Mwachanya, wanaosambaza madai hayo wananuia kuzua tumbo joto miongoni mwa wakenya. Tayari  kampuni hiyo ya Al Ghurair anaanza zoezi la kuchapisha karatasi za kura juma hili.

Also read:   Mshukiwa Wa Ugaidi Azuiliwa Kwa Siku 14.

Post source : Milele fm

Related stories