Mututho asuta NCIC kwa kufeli kuwakabili wanasiasa wachochezi

Mututho asuta NCIC kwa kufeli kuwakabili wanasiasa wachochezi
Photo: Muaniaji ugavana katika kaunti ya Nakuru John Mututho

Muaniaji ugavana katika kaunti ya Nakuru John Mututho ameisuta tume ya uuiano na utangazami NCIC kwa kufeli kuwakabili wanasiasa wanaoeneza uchochezi nchini. Akizungumza katika eneo la Bundeni mjini Nakuru Mututho anasema wanasiasa wengi wameendelea kutoa semi za chuki katika mikutano ya kisiasa ila hakuna hatua inayochukuliwa dhidi yao. Amevitaka vyama vya Jubilee na muungano wa NASA kudhihirisha mfano mwema kwa umma kuhusu haja ya kuvumiliana ili kuepusha machafuko nchini msimu huu wa uchaguzi.

Also read:   Serikali ya Rwanda yapiga marufuku simu ya Samsung Galaxy Note 7 nchini humo

Post source : Milele fm

Related stories