Mahakama kuu yaongeza dhamani hadi nusu milioni kwa mbunge Oscar Sudi

Mahakama kuu yaongeza dhamani hadi nusu milioni kwa mbunge Oscar Sudi
Photo: mbunge Oscar Sudi

Mahakama kuu imeongeza kutoka shilingi laki tatu  hadi nusu milioni dhamana kwa mbunge Oscar Sudi anayekabiliwa na kesi ya kughushi stakabadhi za elimu. Hii ni baada ya Sudi kukosa kufika kotini ijumaa wiki iliyopita kwa usikizwaji wa kesi yake ijumaa wiki iliyopita. Wakati uo huo kesi dhidi ya mwanahabari wa shirika la Nation Walter Menya imekosa kuanza leo baada ya mahakama kuamuru serikali kuwakabidhi mawakili wake stakabadhi za kesi. Menya alikamatwa jana kwa tuhuma za kuitisha hongo ili kuchapisha taarifa aliyokuwa akifuatilia

Also read:   Waziri Wa Elimu Kutangaza Matokeo Ya KCSE Leo; Mombasa.

Post source : Milele fm

Related stories