Asilimia 75 ya watoto Taita Taveta wametelekezwa na wazazi

Asilimia 75 ya watoto Taita Taveta wametelekezwa na wazazi
Photo: m

Asilimia 75 ya watoto  kaunti Taita Taveta wametelekezwa na wazazi huku wengi wakikosa kutumiziwa mahitaji yao ya kimsingi. Mkurugenzi wa idara ya watoto kaunti hiyo  Juma Boga, amesema hali pia imewaweka watoto katika hatari ya kudhulumiwa.  Amewataka wazazi kuchukuwa kwa uzito jukumu lao la kuwalinda watoto dhidi ya hatari zinazowakabili.

Also read:   Idadi ya watoto wanaozaliwa nchini imepungua

Post source : Milele fm

Related stories