Wetangula kutetea kati chake cha Useneta Agosti 8

Wetangula kutetea kati chake cha Useneta Agosti 8
Photo: FORD Kenya party leader Moses Wetangula

Mmoja wa vinara wa muungano wa NASA Moses Wetangula ametangaza kutetea kiti chake cha useneta kwenye kinyanganyiro cha Agosti nane. Wetangula ambaye pia ni kiongozi wa FORD Kenya anasema licha ya kupendekezwa kama niabu mkuu wa mawaziri atakayesimamia masuala ya kigeni, atapambana na wale waliotangaza nia yao kwuania usentea kaunti hiyo.

Also read:   A section of FORD-Kenya leaders vow to boycott 2017 General election if IEBC takes action against Sen. Wetangula

Post source : Milele fm

Related stories