Gavana Kinuthia atangaza kuwania kiti hicho kama mgombea binafsi

Gavana Kinuthia atangaza kuwania kiti hicho kama mgombea binafsi

Gavana Kinuthia Mbugua pia ametangaza kuwania kiti hicho kama mgombea wa binafsi. Amesema hii ni baada ya kushindwa kweye uteuzi na Lee Kinyanjui ambaye anapeperuisha bendera ya Jubilee.

Also read:   Mfanyibiashara Tajika TSS Afariki Mombasa.

Post source : Milele fm

Related stories