Shule na Vyuo vikuu kufungwa tarehe 4 Agosti kwa ajili ya uchaguzi mkuu

Shule na Vyuo vikuu kufungwa tarehe 4 Agosti kwa ajili ya uchaguzi mkuu
Photo: waziri wa Elimu Fred Matiangi'

Shule zote na vyuo vikuu vitafungwa kwa muda wa wiki mbili kuanzia tarehe nne mwezi Agosti kuruhusu uchaguzi mkuu kuandaliwa. Waziri wa elimu Dr Fred Matiang’ anasema ameafikia uamzi huo ili kuwaruhusu wanafunzi kuwa nyumbani wakati wa zoezi hilo. Akiwahutubia wakuu wa elimu Nairobi,Matiang’ amesema IEBC itawajibikia uharibu wa aina yeyote katika shule husika.

Also read:   Jamaa Wafikishwa Mahakamani Wakikabiliwa Na Mashtaka Ya Mauaji Ya Mpeketoni

Post source : Milele fm

Related stories