Jubilee yasitisha zoezi la mchujo katika kaunti 11

Jubilee yasitisha zoezi la mchujo katika kaunti 11
Photo: Milele Fm

Chama cha Jubilee kimesitisha zoezi la mchujo katika kaunti 11 zilizokumbwa na dosari katika zoezo leo hii leo.Katiku mkuu wa Jubilee Raphel Tuju anasema wanashughulikia changamoto zilizosababisha kutatizika zoezi hilo. 11 hizo ni pamoja na Narok, Kericho, Bomet, Nakuru, Baringo, Kajiado,Embu, Uasin Gishu, Nandi, Elgeyo Marakwet na Trans Nzoia. Aidha amesema kaunti ya Muranga, Nyeri,Nyandarua na Kiriyanga zimeendlea na zoezi lao vyema changamoto zikiwa chache

Also read:   President Kenyatta , DP launch portal to showcase Jubilee's achievements

Post source : Milele Fm

Related stories