KDF yawaangamiza Al Shabaab 52, Somalia

KDF yawaangamiza Al Shabaab 52, Somalia
Photo: Milele Fm

Wanajeshi wa Kenya KDF wamewauwa wanamgambo 52 wa Al Shababb na kuwaacha wengine kadhaa na majeraha eneo la Badhaadhe huko Sarira Kaskazini nchini Somalia leo. Msemaji wa KDF Joseph Owuoth amesema wanajeshi hao wakiwa katika oparesheni eneo hilo,walinasa bunduki 7 aina ya ak 47,simu 2,risasi 104 na vilipuzi 3. Owuoth amesema oparesheni ya kuliangamiza kundi hilo itaendelea

Also read:   Seneta Boy Juma Boy Kuzikwa Leo.

Post source : Milele Fm

Related stories