Otuoma agura ODM

Otuoma agura ODM
Photo: Milele Fm

Mgombea ugavana kaunti ya Busia Paul Otuoma ametangaza kujiondoa kutoka chama cha ODM. Otuoma tayari amemuandikia msajili wa vyama kuhusiana na uamuzi huo. Otuoma amechukau hatua hii baada ya bodi ya uchaguzi ya ODM kuagiza kurejelewa mchujo wa kaunti ya Busia katiia maeneo bugne mawili pekee. Otuoma alidai kushinda kwenye mchujo huo. Sasa atagombea ugavana kama mgombeaji wa binfasi.

Also read:   Rais Uhuru kuzuru Kilifi na Mombasa

Post source : Milele Fm

Related stories