Mchujo wa vyama: ODM yahituhumu serikali kwa kutoa usalama kwa upendeleo

Mchujo wa vyama: ODM yahituhumu serikali kwa kutoa usalama kwa upendeleo
Photo: Milele Fm

Chama cha ODM sasa kinaishtumu serikali kwa kupendelea ngome za Jubilee katika utoaji usalama kwenye mchujo unaoendelea. Katibu mkuu Agnes Zani anaitaka serikali kutuoa usalama wa kutosha pamoaj na maafisa wa kutosha kwa wawaniaji kwa vyama vinayoendesha mchujo. Anasema maafisa wa polisi wanajikokota kutoa usalama na hasa maeneo ya Migori na Homabey ambako ghasia zimeshuhudiwa kwenye mchujo wa ODM .Aamesema wawanijai watakaoshiriki vurugu kaunti hizo watapewa nidhamu.

Also read:   Madaktari wanyang'anywa ofa waliokuwa wamepewa awali

Post source : Milele Fm

Related stories