Tuju aomba msamaha kwa dosari za mchujo wa Jubilee

Tuju aomba msamaha kwa dosari za mchujo wa Jubilee
Photo: Milele Fm

Katibu wa Jubilee Raphael Tuju ameomba msamaha kutokana na zoezi hilo la mchujo kuchelewa kuanza katika badahi ya maeneo. Huku akikiri kuwepo changamoto,Tuju amewahakikishia wafuasi wa Jubilee mikakati imewekwa kufanikisha uteuzi wenyewe akisema wamejiandaa na huenda wakatuma helikopta 8 walizonazo kusambaza Karatasi za kura katika maeneo yanayoshuhudia vurugu. Amepinga madai ya kufutiliwa mbali uteuzi huo katika baadhi ya maeneo nchini akisema hakuna afisa aliye na mamlaka ya kuchukua hatua hiyo isipokua afisi kuu.

Also read:   Madaktari watishia kugoma katika kaunti ya Machakos

Post source : Milele Fm

Related stories