Mchujo wa Jubilee kituo cha Old Town Nakuru wakabiliwa na vurugu

Mchujo wa Jubilee kituo cha Old Town Nakuru wakabiliwa na vurugu
Photo: Milele Fm

Mchujo wa chama cha Jubilee katika kituo cha kupiga kura cha Old Town Hall Mjini Nakuru umekumbwa na vurugu baada ya wapiga kura kuarifiwa sajili itakayotumika ni ya mwaka 2013. Wapiga kura wamepinga vikali hatua hiyo wakisema itawanyima haki yao kushiriki zoezi hilo. Milolongo mrefu imeshuhudiwa katika vituo cha kupiga kaunti hiyo huku wapiga kura walikielezea kutamaushwa na kuchelewa kuanza kwa zoezi hilo .

Also read:   Chief Kariuki graduates with a Bachelor's Degree in Psychology

Post source : Milele Fm

Related stories