Maseneta : Bunge la seneti liko hapa kudumu

Maseneta : Bunge la seneti liko hapa kudumu
Photo: Milele Fm

Bunge la seneti liko hapa kudumu.Ndio ujumbe wa maseneta kwa wanaoapendekeza kuvunjiliwa mbali bunge hilo.Spika Ekwe Ethuro aidha anasema watazuia jaribio lolote la kutupilia mbali seneti kwani limebuiniwa kuambatana na sheria. Seneta Mteule Martha Wangari naye anataka bunge hilo kupewa mamlaka zaidi ya kupiga msasa na kupitisha sheria

Also read:   Viongozi wa kanisa wamtaka Githu Muigai kujiuzulu

Post source : Milele Fm

Related stories