Rais wa Uber Jeff Jones ajiuzulu

Rais wa Uber Jeff Jones ajiuzulu
Photo: Milele Fm

Rais wa kampuni ya Uber Jeff Jones, amejiuzulu kutoka kwa kampuni hiyo chini ya miezi sita tangu achukue wadhifa huo.Taarifa kutoka kwa kampuni hiyo ya Texi ziliiambia Bbc kuwa, hatua hiyo ya kujiuzulu haikutarajiwa kabisa.Kwenye taarifa yake siku ya Jumapili Uber ilisema, “Tungependa kumshukuru Jeff kwa kipindi cha miezi sita amekuwa na kampuni na tunamtakia mazuri.”Hata hivyo kampuni hiyo imeshangazwa na kuondoka kwake kwa ghafla , huku maafisa wengine wakiachwa na butwaa wa kutojulishwa kuhusu mipango yake.

Also read:   Suluhu la mzozo wa teksi za UBER

Post source : Milele Fm

Related stories