HabariMilele FmSwahili

Tanzania, Rwanda na Burundi, kati ya nchi zisizo na furaha duniani

Tanzania Rwanda na Burundi zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani. Rwanda iko nafasi ya 151 , tanzania nafasi ya 153 huku Burundi ikiwa nafasi ya 154 kati ya nchi 155. Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani, kwa mujibu wa ripoti ya umoja wa mataifa. Denmark, ilishikilia nafasi ya kwanza mwaka jana.

Also read:   Rwanda President announces his 2017 presidential bid
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker