Vyombo vya habari vyashinikizwa kupeperusha vipindi vya humu nchini

Vyombo vya habari vyashinikizwa kupeperusha vipindi vya humu nchini
Photo: Milele Digital

Vyombo vya habari nchini Kenya vimeshinikizwa kuwa mstari wa mbele kwa vipindi vinavyotayarishwa humu nchini kuambatana na matakwa ya sheria zinazodhibiti uanahabari kama njia moja ya kukuza kiwanda cha vipindi vya hapa nchini.Haya yalisemwa leo wakati wa uzinduzi wa mashindano ya tuzo za River Wood zinazodhaminiwa na kampuni ya Mediamax zinazolenga kutambua na kutunuku vipindi vya humu nchini.

Also read:   Riu no wirorere Kameme TV mitambo-ini ya DSTV na GOTV

Post source : Milele Fm

Related stories