HabariMilele FmSwahili

Wafanyikazi wa Vyuo vikuu watoa makataa ya mgomo

Miungano ya wahadhiri na wafanyikazi wa vyuo viku vya umma UASU na KUSU wametoa makataa ya mgomo wa siku saba kushinikiza serikali kutekeleza makubaliano ya kuwapa nyongeza ya mishahara. Miungano hiyo imeshutumu serikali kwa madai ya kukiuka katika kwa kufeli kutekeleza mkataba huo wa mwaka 2013-2017. Wanasema wako tayari kwa mazungumzo na serikali kutatua malalamishi yao kabla ya kuanza mmgomo januari 19

Also read:   Tarehe za muhula wa kwanza kwa shule na vyuo mwaka ujao zimetangazwa

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker