Zaidi ya wanafunzi 1000 wametumwa nyumbani Kisumu

Zaidi ya wanafunzi 1000 wametumwa nyumbani Kisumu
Milele Digital

Zaidi ya wanafunzi 1000 kutoka shule ya upili ya Nyamagwa kaunti ya Kisumu wametumwa nyumbani baada yao kuhusishwa na moto ulioteketeza mabweni mawili ya shule hiyo. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa muungano wa wakuu wa shule kaunti ya Kisumu Jairus Onhoke, uchunguzi umebaini kwamba waafunzi walihusika katika moto huo ulioteketeza mali ya mamilioniya fedha. Hata hivyo hakuna aliyefariki au kujeruhiwa katika msaka huo wa usiku wa kuamkia leo.

Also read:   Muikariri giti wa gikundi kia Nyumba Kumi Joseph Kaguthi gutetera borithi

Post source : Milele Fm

Related posts

MNL App
MNL App